Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
karibuni kwa Live updates... Wengine pia mnaweza kuongezea
Kila la heri As vita Club
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Muda munafikiria wa kuwatakia Heri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibuni kwa Live updates... Wengine pia mnaweza kuongezea
Kila la heri As vita Club
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Mungu ibariki AS Vita, Amen [emoji1488]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mechi imeisha tayari
Hiki ndio kile kikosi kipana au kuna kingine?
Sent from my iPhone using JamiiForums
tengua kauli ssa.Sitak kuwan mnafiki kila la kheri mutu ya kongo. Simba tuliwapenda ila mutu ya Kongo imewapenda zaid inalilah wainalajun
Mwabheja gete gete
Sent using Jamii Forums mobile app
Kun Faya Kun....Kun FAYA kun...Manara bana sijui anamanisha nini.. Nimejaribu kuangalia nane bora.. Enyimba .Asante kotoko na nyingine nyingi za magharibi hazimo. Kwa sauti ya kike .SIMBA OYEE.. Kiitikio sauti ya Kiume..
Week imeenda vizuri sana kwangi. Simba kashinda, yanga kapigwa na Manu kapigwa.Dah simba inanichanganya sana ikicheza taifa mpaka najiuliza tunashindwaje kulisakata namna ile ugenini? Nimefurah sana weekend imekua murua..na leo ndio nimejua kwanin mashabiki tunafia uwanjan hata kama timu yako imeshinda
Dada bhana!Mungu ibariki AS Vita, Amen [emoji1488]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mmeanza tena. Nyie watu mna roho za paka.Simba acha washangilie..hizi ni wiki zao...ila nikiangalia uwezo wenu over 2 legs kwnye mechi zenu za makundi,,kwakweli hautii moyo .kwnye mtoano sijui itakuaje