Mkuu unawanga mchana kweupe hiviAisee... Sasa nafuta sala zangu... Mpigwe goli 2... Na iwe FT SIMBA 0 - 2 MBBNE ...
Ewe mungu baba, mueza juu kila kitu, usiyeshindwa jambo lolote mbele yako, baba muumba mbingu na ardhi, na kila vilivyomo kwenye ulimwengu huu...
Nina ombi moja kwako leo baba... Baba naomba ujaalie timu ya simba ifungwe goli mbili tu wala sio yingi baba...
Baba hawa simba wanajikuta wao ni Barcelona ya Tanzania... Kumbe hawana lolote la maana... Timu imejaa wazee waongo wanaodanganya umri wao.. baba jaalia kabisa na wafungwe mechi ya marudiano...
Baba naamini umesikia ombi langu baba... Hakika wewe ni msikivu mwenye kujibu shida za wanyonge...
Aaamiiin
Mkuu unawanga mchana kweupe hivi
Hakili una ww...saa mbovu tu kama zingineAisee... Sasa nafuta sala zangu... Mpigwe goli 2... Na iwe FT SIMBA 0 - 2 MBBNE ...
Ewe mungu baba, mueza juu kila kitu, usiyeshindwa jambo lolote mbele yako, baba muumba mbingu na ardhi, na kila vilivyomo kwenye ulimwengu huu...
Nina ombi moja kwako leo baba... Baba naomba ujaalie timu ya simba ifungwe goli mbili tu wala sio yingi baba...
Baba hawa simba wanajikuta wao ni Barcelona ya Tanzania... Kumbe hawana lolote la maana... Timu imejaa wazee waongo wanaodanganya umri wao.. baba jaalia kabisa na wafungwe mechi ya marudiano...
Baba naamini umesikia ombi langu baba... Hakika wewe ni msikivu mwenye kujibu shida za wanyonge...
Aaamiiin
Mwenzako hapo juu... Mimi naleta uTanzania yeye akaleta Usimba na Uyanga... Nikaamua nigeuze maombi yangu...Hakili una ww...saa mbovu tu kama zingine
AzamTV HD na sport 2Inaoneshwa channel ipi
Akimchezesha okwi ka anavyomchezesha kua kiungo magoli tutakua tunayasikia tu kwenye tvAll the Best Mnyama View attachment 949054
Mfungwe tuKwa heshima kubwa kabisa Leo simba inaanza safari ya kimataifa na inaanza na timu kutoka uswetu
Nipo Taifa tayari kwa kuwaletea mpambano huu live
Tayari watu wameshajaa nje ya uwanja hamasa Ni kubwa Jezi zinauzika sana za simba
Kuna foleni kwa magari yanayotoka gerezani ila km kama unapitia mwembe yanga utafika bila usumbufu
Mechi itaanza saa kumi kamili jioni 16:00 kwa saaa za Afrikaans masharik I
All the best Mbabane Swallow fc, wakate Mikia hao Mikia fc wakafie mbali.All the best Mnyama
Mbabane msituangushe jamani