Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Umefata betting rules.Nimemwekea simba pesa leo
Akishinda nitafurahia kaniingizia mkwanja
Akifungwa pia nitafurahi mtani kachakazwa..
Leo matokeo yote nachekelea tu
Mfungwe tu
Nitakutafuta baada ya Dk 90All the best Mbabane Swallow fc, wakate Mikia hao Mikia fc wakafie mbali.
Kashasha anasikika Frequency ngapi kwa Dar?
Hii betting yako ni mzuri sana..Nimemwekea simba pesa leo
Akishinda nitafurahia kaniingizia mkwanja
Akifungwa pia nitafurahi mtani kachakazwa..
Leo matokeo yote nachekelea tu
87.8 tbc taifa
Nimepata na goli limeingia muda huu huu, nasubiri Kashasha atoe ufafanuzi.
Bocco wayaaa
Grass cutter cross hahaha huyu kashasha fala sana