Yale mabaya yote yaliyoombwa na braza Manara na wapenzi wengine wa Simba kwa Yanga tunaomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ayalejeshe kwa Simba leo. Amina.
Laana za kumvua Manara cheo cha Afisa habari nini?Yaani mikia wakifungwa leo lazima nibebe mimba ya mapacha.
Pole sana Baba. Ndio mpira huo.Tuunganishe nguvu ya kuomba yaani sina raha kabisaa mamii
Yaani mikia wakifungwa leo lazima nibebe mimba ya mapacha.
Leo mmeshikwa Mtani. πππAya bana
Hahahhahah.Haji bado afisa according tu yeye.Laana za kumvua Manara cheo cha Afisa habari nini?
Wanajituma na kujiamini haswaHadi kit manager
Wewe utakuwa kaka yao. Baba yao yupo tayari.Naomba niwe baba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani mikia wakisawazisha na kuongeza la pili mnitagi ili nilog off JF miezi yote iliyobaki kwa mwaka 2019.
Aisee. Hatareeee.Mimi nitapasua simu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umechomoa betriiWewe utakuwa kaka yao. Baba yao yupo tayari.
Dk ya 75, mnatakiwa mfunge magoli mawiliNi suala la muda tu but simba tunashinds
Ngonja tusubiri hizo dakika.
Yaani π π π naombea zifike dkk 90Nakuona..hapo roho yako kwatuuu...
ππππNtaambia nini chura fc?