Kwenye kombe la mil 80Usajili mkubwa unaishia ligi kuu
So painful
Simba tumeshatoka
Ila Simba wanaaga
Kwani mpira umeisha Mtani?Simba tumeshatoka
Yap....songo ataenda zake mbeleHii droo ya magoli si songo anavuka hapa
AnavukaHii droo ya magoli si songo anavuka hapa
Jamani pressure inapanda. Mpira haujaisha tu?Kwani mpira umeisha Mtani?
Jamaa mdebwedo saana, hata hivyo ilibidi wapigwe nyingi.Hahaahaha hawa wasumbiji ni machokooo
Hii 1-1 Haina msaada kwa Simba
Bado dk moja na nusuJamani pressure inapanda. Mpira haujaisha tu?
Mpira uishe jamani.Bado dk moja na nusu