Ligi ya Madam na Mchaga..

Mbona kila kitu kipo dhahiri tu zaidi ya kucheza na majina tu ya wahusika.
 
Dah! Hapo kwa dada pesa ndo ameniacha njia panda mpaka sasa. Nimeshindwa kufungua mabano kabisaaaaaaaa
 

Mkuu nimekusoma vere wele na hizi CODE zako yaani kaa humu humu kwa mwendo wa CODE mwanzo mwishooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah kumbe na mimi niko vizuri kwenye kuelewa codes ubuyu nmeuelewa vilivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108][emoji108]
 
Huu c ubuyu, ni ukwaju uliotiwa shubiri kutibu ngiri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…