Haji Mashaka Nassoro
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 384
- 850
High ways zetu hali si shwari ndugu zangu madereva wa mabasi ya masafa marefu na mafupi ni vurugu tupu dhana ya Defance drive ni zero jamaa wanafukuzana kama hawana akili nzuri.
Kikao cha bunge la bajeri kijacho wapeleke muswada wa marekebisho ya sheria makosa ya usalama barabarani wasimamie "Wajeda amri moja" dereva wa basi akijifanya hamnazo over take za kijinga anatandikwa bakora mbele ya abiria.