Haji Mashaka Nassoro
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 384
- 850
Tunamshukuru maana hatutaki torchHigh ways zetu hali si shwari ndugu zangu madereva wa mabasi ya masafa marefu na mafupi ni vurugu tupu dhana ya Defance drive ni zero jamaa wanafukuzana kama hawana akili nzuri.
Kikao cha bunge la bajeri kijacho wapeleke muswada wa marekebisho ya sheria makosa ya usalama barabarani wasimamie "Wajeda amri moja" dereva wa basi akijifanya hamnazo over take za kijinga anatandikwa bakora mbele ya abiria.
una uhakika mkuu? mie nilipanda january walisema muda elekezi ni saa sita usiku wawe Mwanza..Baada ya kuwa mbele ya muda dereva alipaki bus Shinyanga kuvuta muda kidogo.Ally's inayotoka Dar-Mwanza saa nne kamili usiku inakua imefika
Kiongozi umeongea point sana madereva wa mabasi Tanzania ni janga la taifa. Afande Fotunatus Musilim alipokua kamanda wa usalama barabarani taifa walau alikua mkali kidogo kwa madereva wapumbavu.Kwa hali ilipofikia serikali ikubali tu sasa kazi ya kusimamia sheria barabarani wapewe JWTZ basi,bora lawama kuliko huu ujinga wa kuuana/kutiana vilema kwa ujinga wa watu wachache!?na trafic case zote ziendeshwe kijeshi tu,kosa dogo ni jela miezi 3!!kama napo tuta fail tuwaite wazee wa kujilipua WAGNER wasimamie kitengo!!siasa zimezidi sana!!