Namaanisha mfano wa timu hixo ni kama.. Tanga FC, Arusha FC, Mwanza Fc, Dar Es Salaam FC
Wadau, naomba kujuzwa kama tuliwahi kuwa na Ligi ya mikoa ya mpira wa miguu, na kama ilikuwepo.. Ilikuwa katika mfumo gani, Timu zake zilikuwa ni zipi, FIFA ilikuwa inahusika??? Ilikuwq ligi ya timu ngapi, Kombe lake lilikuwa nini, ilianzishwa wakati gani na Kwanini haipo tena kwasasa?