naomba kuuliza wadau mnaofuatilia hii ligi. je kuna system ya timu kupanda na kushuka daraja kama ligi za soka. maana ni kipindi sasa naona timu ni zilezile au zinzbadilishwa majina kidogo tu.

hakuna kushuka wala kupanda daraja.kama ulivyosema zinabadilishwa majina mara nyingi zihama miji,mfano vancouver grizzlies imehamia memphis sasa hivi ni memphis grizzlies anachezea hashim thabiti.