mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Lengo la timu huwa ni kushinda bila kujali nani kashinda,lakini kila mchezaji ana role yake uwanjani,timu huwa zinasajili striker namaanisha namba 9 kwa ajili ya kufunga,kwamara ya pili ligi yetu best scorer ni viungo huku kuna striker wana goli moja,
Je hii ni sawa?
Je hii ni sawa?