😀😀😀kwani Mayele alikua namba ngapi....Lengo la timu huwa ni kushinda bila kujali nani kashinda,lakini kila mchezaji ana role yake uwanjani,timu huwa zinasajili striker namaanisha namba 9 kwa ajili ya kufunga,kwamara ya pili ligi yetu best scorer ni viungo huku kuna striker wana goli moja,
Je hii ni sawa?
Hili swali pia Huwa najiuli tuko milioni 60 katika watu Hawa mbona namba 9 Bora haipo ?Lengo la timu huwa ni kushinda bila kujali nani kashinda,lakini kila mchezaji ana role yake uwanjani,timu huwa zinasajili striker namaanisha namba 9 kwa ajili ya kufunga,kwamara ya pili ligi yetu best scorer ni viungo huku kuna striker wana goli moja,
Je hii ni sawa?
Tuongelee kwa mfumo wetu bongo,bado namba 9 wanatumika ila hawafungi,kwa nini?Unacho takiwa kujua mpira sasa umebadilika siku hizi number 9 hachezi kwenye box kusubiri cross za wings Real Madrid ni bingwa wa UEFA na La liga hawana number 9
Mhhh! Guede huyu huyu!! Hapa nadhani umetanguliza zaidi mapenzi binafsi. Ila tukija kwenye uhalisia, jambo hilo haliwezekani.Usiwe na haraka subiri msimu ujao Guede atakua mfungaji bora magoal 20+
Kwanini mkuu umewahi kumkatia tamaa? Kaja dirisha dogo lakini kaonesha kitu kwenye ligi kuu kuliko Mzize na Musonda walipewa nafasi mara kwa mara na kocha kwa msimu mzima. Guede ana magoli sita ya ligi kuu kwa mechi kadhaa alizocheza. Avumiliwe huyuMhhh! Guede huyu huyu!! Hapa nadhani umetanguliza zaidi mapenzi binafsi. Ila tukija kwenye uhalisia, jambo hilo haliwezekani.
Na hii inasababishwa na mfumo wa uchezaji wa Yanga, umri wa mchezaji husika, na pia aina yake ya uchezaji.
Yaani kuna wakati wanakosa magoli ya wazi kabisaa mpaka unajiuliza huyu ni striker au bekiStriker hachezi sana na hajichoshi sana ila akipata ball eneo zuri hakosi
Na mpira ni viungo ndo soka la kisasa kiasi kwamba striker anafichika au analazimika kua kiungo, then anashindwa kuendana na kasi ya viungo.
Na mastriker wengi msimu huu hawakua na Target nzur, wamepata nafasi kibao lkn holaaa .