py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Azam media official sponsor wa uganda premier league kwa mwaka anatoa 6Billion kama kiasi alicho invest kwenye hiyo sponsorship yake.
mchezaj bora wa mashindano anachukua gari mpya,ambapo kwa msimu huu 2016,2017 mchezaji Joseph ochaya amekabidhiwa gari mpya aina ya subaru Forester na pesa taslimu wakat huo huo ligi ya kitanzania inayodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi Vodacom mchezaj bora anapewa mil 5 za kitanzania.
Joseph ochaya mchezaji bora wa ligi ya Uganda akikabidhiwa ufunguo wa gari aina ya Subaru forester na pesa taslimu.
Je VPL tunafaidikaje na udhamini wa Vodacom