Ligi ya Uganda wana faidika na udhamini wa AZAM mchezaji bora anaondoka na subaru& pesa taslimu

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Azam media official sponsor wa uganda premier league kwa mwaka anatoa 6Billion kama kiasi alicho invest kwenye hiyo sponsorship yake.

mchezaj bora wa mashindano anachukua gari mpya,ambapo kwa msimu huu 2016,2017 mchezaji Joseph ochaya amekabidhiwa gari mpya aina ya subaru Forester na pesa taslimu wakat huo huo ligi ya kitanzania inayodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi Vodacom mchezaj bora anapewa mil 5 za kitanzania.



Joseph ochaya mchezaji bora wa ligi ya Uganda akikabidhiwa ufunguo wa gari aina ya Subaru forester na pesa taslimu.

Je VPL tunafaidikaje na udhamini wa Vodacom



 
Vodacom wajitafakari upya na kuchukua hatua sahihi. Ni wazi udhamini wao unakubalika zaidi na elites zaidi kwa maana ya TFF, bodi ya Ligi na baadhi ya viongozi lakini ni kama mashabiki hatuuelewi kabisa
 
Ulitaka tufaidikaje yani? wakati ushaelezea vitu ambavyo Voda wanatoa kwenye VPL. Au dhumuni ni kulinganisha udhamini wa Azam na Voda? Haviwezi kua sawa, coz hao ni voda na hawa ni Azam so it will never be the same, duniani hakunaga equality kunatakiwa kuwe na equity tu. udhamin wa nchi moja na nyingne hauwez fanana, sio kwa TZ n UG tu but kote duniani, nadhani kila nchi wana package yao.
 
Pale mwajiriwa wa voda anapokuwa sehemu ya mjadala!!
 
Kweli binadamu hatufanani[emoji51]
 
Afisa masoko wa voda naona mipovu hioooo
Nlidhani mie peke yangu ndio nimepata picha hiyo[emoji41]

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app


Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Vodacom ni kheri wakiboresha package yao naam
Lakn tufikirie pia hao 'bora' wengine wa ligi hyo huko Ug wanazawadiwa nin?

Huenda kushehen kwa wazawadiwa wa vpl (kipa bora, player chipkiz bora, team yenye nidham, list ni ndef) kukawanufaisha wengi ktk ligi yetu kuliko huko Ug kumpa gari mvp pekee na wachache(if any) wakaondoka na kiduchu kisinnue hata sanlg [emoji3]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…