Ligi zimerudi wake na michepuko yetu mtuvumilie

Mi kuna kamchepuko eti kamenuna, mana jana na leo sina hata time nako..... sasa league ndo kwanza imeanza na genye zimepungua kwa kiasi kikubwa mana huku pressure ya mechi, huku pressure ya mikeka,ajiandae kisaikolojia
 
Ndio ndio kaweke pending tu
 
Labda mpira usiangalizie home. Upate mke kama mimi ule muda unaangalia mpira najisogeza. Ukija kushtuka mpira umeisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ligi hizi hatuangalii nyumban,,hamchelewi kubadili chanel
 
Ule utamu unaopishana kidogo na utamu wa papuchi umerudi sasa,siku za wkend hatutopatikana tena kirahisi.

Game zinaanza ijumaa zinaisha jpili,nasisitiza ni ngumu kutupata kwa kipindi hichi
Sawa sawa Mkuu,navyopenda soka,iwe kutazama kwa TV, iwe kwenda uwanjani ,au kuucheza

Liverpool hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…