Ligi zote barani ulaya ziwe suspended kwa sababu ya Corona kama walivyofanya Serie A

Ligi zote barani ulaya ziwe suspended kwa sababu ya Corona kama walivyofanya Serie A

42774277

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
6,833
Reaction score
8,853
Honestly sielewi kwanini Officials wa hizi league wamekuwa wazito kwenye kufanya maamuzi.

Hizi habari za kwamba mchezaji fulani ameambukizwa corona au kuna wachezaji wanaonesha symptoms zinatisha sana.

Sielewi kwanini ligi zinaendelea. Je ni kwa sababu ya pesa?

Afya za wachezaji zimekuwa hazina umuhimu tena?

Hii si sawa.
Screenshot_20200312-180841.jpeg
Screenshot_20200312-180942.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom