42774277 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 6,833 Reaction score 8,853 Mar 12, 2020 #1 Honestly sielewi kwanini Officials wa hizi league wamekuwa wazito kwenye kufanya maamuzi. Hizi habari za kwamba mchezaji fulani ameambukizwa corona au kuna wachezaji wanaonesha symptoms zinatisha sana. Sielewi kwanini ligi zinaendelea. Je ni kwa sababu ya pesa? Afya za wachezaji zimekuwa hazina umuhimu tena? Hii si sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
Honestly sielewi kwanini Officials wa hizi league wamekuwa wazito kwenye kufanya maamuzi. Hizi habari za kwamba mchezaji fulani ameambukizwa corona au kuna wachezaji wanaonesha symptoms zinatisha sana. Sielewi kwanini ligi zinaendelea. Je ni kwa sababu ya pesa? Afya za wachezaji zimekuwa hazina umuhimu tena? Hii si sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
mikedean JF-Expert Member Joined Mar 15, 2018 Posts 3,267 Reaction score 4,634 Mar 12, 2020 #2 . Sent using Jamii Forums mobile app