Ligwaride mara tatu kama dozi ya panadoli kama sio Asprini

Mtaka cha uvunguni shart ainame, sasa akiinama hadi mgongo umuume shauri yake, swali langu ni kuwa, huyo mumewe haendi kazini kwani mpaka ampe dozi kutwa mara tatu?

Sio kutwa bali ni usiku saa ya kulala kama lisaa zima hivi, katikati ya usiku na asubuhi lazima amuamshe mamsap
 
bacha / bucho nyie mko na undugu?
 
Kuna wandoa wengine wanakula tunda mara 3 kwa mwezi yeye kwa siku anaomba ushauri wa nini ajinome tu hii wenzeka wanaiomba yeye anaomba ushauri?
 
Kuna wandoa wengine wanakula tunda mara 3 kwa mwezi yeye kwa siku anaomba ushauri wa nini ajinome tu hii wenzeka wanaiomba yeye anaomba ushauri?

Ishu hapa ni msuguano unaotokea hivyo inamlazimu kukojoa kwenye ndoo iliyojaa maji kunusuru majeruhi yaliopatikana
 
hamna kitu kama hiyo . Bucho ni mtoto pekee wa mama na baba bucho.

Orait...posti zenu zimefuatana hapo juu....i couldn't tell the difference...
 
Mwambie avumilie tu Ndoa ina shida na raha kwa sasa mwanaume ndo anapata raha yeye anapata karaha.

Kama ameshindwa kuhimili mikimiki amruhusu mwanaume atafuta nyumba ndogo awe anapoozea kwanza huko

Mume ni mwaminifu katika ndoa yake na hataki nyumba ndogo.... anataka kula maharage tuu hataki mabo ya kubadilisha mara nyama mara samaki
 
Hellow darling....my sweet dig dig i dreamed about u last nigth

Oooww!!!! utaniambia PM what the dream was all about hapa si unajua maadui zangu Bigirita na wengineo wananiwinda sana, Swthrt jana ndio uliamua utokomee huko kabisaa hata uliporudi ukunifahamisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…