Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Inasemekana juzi kisa cha hawa watatu kuongea vitu ambavyo havina maadili kwa jamii yetu hasa juu ya mbowe, ni kwamba walikuwa wamelewa, sijui kulikua na party gani ?
Lijuakali baada ya kutoka bungeni alipiga usingizi hadi kuja kuamshwa na mlinzi akitaka kufunga milango.
Spika yeye hakumaliza session, alichukuliwa na walinzi hadi kwake area D na amerusi leo asubuhi anapiga miayo utadhani hajala siku 3.
Msukuma yeye akiongea na Area D FM amekiri kwamba hakuwa sawa na ameomba wanachadema wamsamehe na kumuomba Mbowe amsamehe pia kwa sababu pombe ndio zilisababaisha na kuahidi kumtembelea mhowe jijini dar haraka baada ya bunge kivunjwa.