Lijue chimbuko la wanawake kuvaa wigi

Lijue chimbuko la wanawake kuvaa wigi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
curl.jpg

Wigi huvaaliwa zaidi na wanawake wenye asili ya Afrika au Wamarekani wa saili ya Afrika.

Chimbuko halisi la uvaaji wigi ni ubaguzi uliokuwepo wakati wa utumwa ambapo wale wenye ngozi nyeupe na nywele shombeshombe walipewa kazi za rahisi za ndani na wale wasio na ngozi nyeupe walifanyishwa kazi ngumu mashambani.

Sababu kubwa ambayo inadhaniwa kuwaathiri wanawake wa asili ya kiafrika ni fikra kuwa mwanamke mwenye nywele ndefu ndio mrembo zaidi kuliko mwanamke mwingine.

Hivyo wanawake wengi wanajaribu kuutafuta urembo huo kwa kuvaa mawigi, daktari wa mambo ya afya amebainisha baadhi ya madhara hasi yanayosababishwa na kuvaa mawigi na usukaji wa nywele za bandia.


Dar 24
 
Unaona sasa! Ndo maana nachukia sana wanawake kuvaa mawigi. kama ni nywele ndefu au mtindo wa nywele si unafuga tu nywele original?
Wenge wanaiga tu lakini ukimuuliza kwa nini anavaa wigi badala ya kuonesha nywele zake anaanza kumwayamwaya tu. Kwa kifupi wanaoaa mawigi ni washamba tu
 
Hata hao wenye rangi mbadala wameanza kuyavaa mda sasa sema ndio ngumu kuwatambua.
 
hawajui tu kuwa wanageuka mazombi kila wanapoyavaa hayo madubwasha!
 
Back
Top Bottom