Lijue eneo lenye makaburi mengi zaidi duniani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
1715342073084.png

Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5.

======

The world's largest cemetery, in Iraq's Shi'ite holy city of Najaf, is expanding at double its usual rate as Shi'ite militias bury their dead from the war against Islamic State.

The Wadi al-Salam cemetery, Arabic for "Peace Valley," has a special place in the hearts of Shi'ite Muslims as it surrounds the Mausoleum of their first imam, Ali Bin Abi Talib, a cousin and son-in-law of Prophet Mohammad.

The pace of daily burials rose to 150-200 after Islamic State, the ultra-hardline Sunni group overran a third of the country in 2014, said Jihad Abu Saybi, a historian of the cemetery. The rate was 80-120 a day previously, he said.

Shi'ite paramilitary often visit Ali's golden-domed shrine before heading to the frontlines to battle Islamic State, and request to be laid to rest in Wadi al-Salam should they be killed, as a reward for their sacrifice.

As land becomes scarce, the cost of a standard 25 square metre family burial lot has risen to about 5 million Iraqi dinars ($4100) almost double the amount paid for the same lots before violence escalated as IS exerted control over large swathes of north and western Iraq in 2014.

Millions of graves of different shapes lie in the roughly 10 square km (4 square miles) cemetery that attracts burials from Shiites all over the world. By nationality, Iraq's Iranian neighbours are thought to come second in number people interred near Ali's golden-domed shrine.

Often built with baked bricks and plaster, decorated with Koranic calligraphy, some graves are above ground tombs, reflecting the wealth of those within.
 
Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5.
Kwa muonekano tu wa mpangilio makaburi haya inadhihirisha wazi kabisa kwamba uwezo wa kufikiri wa Watu wa nchi hiyo hautofautiani pakubwa Sana na Watu weusi. Makaburi yamekaa bila mpangilio mzuri unaoeleweka, ni vururu vururu.
 
Heb tuambie wewe bwana genious ungefanyaje?

Maana hapo kulikuwa kunasiku wanazika mpaka maiti 1000 kwa siku ambao wanakufa kutokana na mashambulizi ya vita je wew ungekuwa uko ndani unaandaa mchoro au kutabiri kesho watazikwa wangapi?
 
Eneo hilo lingepangiliwa vizuri na kuweka au kuchimba makaburi ktk utaratibu na mpangilio mzuri unaoeleweka.
Endapo kama maiti zinazoletwa kuja kuzikwa hapo kwa kila siku ni nyingi basi wangepanga au kuona namna nzuri ya kuweza kuzika maiti hizo ktk makaburi ya pamoja ili kudhibiti mpangilio wa makaburi sambamba na kuweza kubajeti ardhi vizuri ili iweze kutumika kwa kuzika watu wengi zaidi.

Aidha, wangeweza pia kupanga kuzika maiti moja juu ya nyingine kwa mtindo wa kuzika maiti unaijulikana Sana kwa jina la "Makaburi ya Ghorofa"
 
Kuna mambo ni kuyaacha kama yalivyo boss maana unadhani wakati wa vita priority itauwa ni mpangilio wa makaburi?
 
Yes, why not? Kwa sababu nchi ikiwa vitani maana yake ni kwamba nchi hiyo imejenga kiwanda Cha kuzalisha maiti ambazo zitatakiwa kuzikwa. Kwa Nini basi kusiwe na mipango mizuri ya kuzika maiti hizo wakati Kuna uhakika kwamba kila siku lazima maiti nyingi zitazalishwa?????
Kwa Nini wasiandae kuchimba makaburi vizuri in advance kabla Watu hawajafa?
 
Wala sina majibu.
 
Hakika huwezi kuwa na majibu.. inahitaji uwe punguni wa kutosha ili uwe na majibu ya Yale maswali
 
Eneo hilo lingepangiliwa vizuri na kuweka au kuchimba makaburi ktk utaratibu na mpangilio mzuri unaoeleweka.
Endapo kama maiti zinazoletwa kuja kuzikwa hapo kwa kila siku ni nyingi basi wangepanga au kuona namna nzuri ya kuweza kuzika maiti hizo ktk makaburi ya pamoja ili kudhibiti mpangilio wa makaburi sambamba na kuweza kubajeti ardhi vizuri ili iweze kutumika kwa kuzika watu wengi zaidi.

Aidha, wangeweza pia kupanga kuzika maiti moja juu ya nyingine kwa mtindo wa kuzika maiti unaijulikana Sana kwa jina la "Makaburi ya Ghorofa"
unaeleweshwa bado unaleta siasa zako na kukaza fuvu.
Mambo ya makaburi ya ghorofa hayako kwenye mila za dini ya kislam
 
Back
Top Bottom