Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Dinka ni watu gani?
Mamia ya miaka iliyopita , watu wa jamii ya ki Dinka walikuwa wakijuoikana na kuitwa Moinjung, ikiwa na maana watu wa watu. Hili ndilo kabila la watu warefu kabisa barani Afrika.
Watu wa jamii ya Dinka, ni wwzalishaji wakubwa wa mtama, uwele, karanga, mahindi, maharagwe, na mazao mengine.
Wanawanke wa kabila la Dinka ndio watendaji wakuu wa shughuli za kilimo, na wanaume wa kabila la DINKA kazi yao kubwa ni kusafisha misitu kwa ajili ya kufanya shughuli za kilimo na kuendelezwa makazi.
Wadinka hulima mara mbili kwa mwaka, na kabila lao limegawinyika katika koo ndogondogo 14.
Hili ndilo kabila kubwa katika Sudan ya Kusini, na watu wake Ni wakarimu Sana, wenye kuoenda wageni, wapenda kujifunza, wanapenda kutoka kwa ajili ya kuiona dunia kwenye mwanga Bora. Hawa Ni wajumuikaji wa shughuli za misiba na furaha pia. Wanachukua Matatizo ya mtu mwingine Kama ya kwao binafsi.
Watu Hawa wanaupenda Sana utamaduni wao nankuuthamini, licha ya kwamba mabadiliko ya kiteknolojia yamekuwa ni adui mkubwa kwa utamaduni wao.