Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,155 Reaction score 35,683 Oct 3, 2018 #21 for life said: Njoo ukae nyuma hili bas muda wowote litadondoka Click to expand... Kwa kweeliiiiiiii (in Joti's voice) Ngoja nije...niachie nafasi
for life said: Njoo ukae nyuma hili bas muda wowote litadondoka Click to expand... Kwa kweeliiiiiiii (in Joti's voice) Ngoja nije...niachie nafasi
lucley JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 727 Reaction score 1,986 Oct 3, 2018 #22 Madame B said: Nipo siti ya mbele ila bado sijaelewa chochote Click to expand... Madame nikiona comment yako tu huwa nachangamka sana sijui kwa nini..!
Madame B said: Nipo siti ya mbele ila bado sijaelewa chochote Click to expand... Madame nikiona comment yako tu huwa nachangamka sana sijui kwa nini..!
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,155 Reaction score 35,683 Oct 3, 2018 #23 lucley said: Madame nikiona comment yako tu huwa nachangamka sana sijui kwa nini..! Click to expand... Asante kwa kuchangamka mkuu. Kwanza mie ni mchangamfu sana pia sinaga mambo ya kifoooo. Mie kila mtu rafiki yangu na best yangu pia. Ila nikitibuliwa sasa, nakuwa kama nimelisha Kidono au Kinkuti. Karibu sana mkuu
lucley said: Madame nikiona comment yako tu huwa nachangamka sana sijui kwa nini..! Click to expand... Asante kwa kuchangamka mkuu. Kwanza mie ni mchangamfu sana pia sinaga mambo ya kifoooo. Mie kila mtu rafiki yangu na best yangu pia. Ila nikitibuliwa sasa, nakuwa kama nimelisha Kidono au Kinkuti. Karibu sana mkuu