likizo bila malipo taasisi za umma

likizo bila malipo taasisi za umma

van penga

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
74
Reaction score
4
Habari wadau,Naomba kujuzwa utaratibu wa kuchukua likizo bila malipo kwa taasisi za umma ukizngatia nina makato ya mkopo kwa kila mwez kwenye mshahara wangu
 
Kwa nn uchukue likizo ya bila malipo?unaandika tu barua basi.deni litalipwa na mwajiri hadi liishe
 
Back
Top Bottom