V van penga Member Joined Feb 24, 2013 Posts 74 Reaction score 4 Feb 13, 2014 #1 Habari wadau,Naomba kujuzwa utaratibu wa kuchukua likizo bila malipo kwa taasisi za umma ukizngatia nina makato ya mkopo kwa kila mwez kwenye mshahara wangu
Habari wadau,Naomba kujuzwa utaratibu wa kuchukua likizo bila malipo kwa taasisi za umma ukizngatia nina makato ya mkopo kwa kila mwez kwenye mshahara wangu
M Mbunda E Member Joined Feb 20, 2014 Posts 94 Reaction score 16 Feb 22, 2014 #2 Kwa nn uchukue likizo ya bila malipo?unaandika tu barua basi.deni litalipwa na mwajiri hadi liishe