Likizo bila malipo!

Likizo bila malipo!

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
2,804
Reaction score
96
HI ya"ll...I just want to let you know that nachukua likizo bila malipo kuingia hapa JF.....I have some business to take care and also i need to smell some fresh air......

You all have a wonderfull time kuchangia hoja mbali mbali humu and i will miss you all SO MUCH...mwaaaah!

xoxo

Nnzafula A.K.A Kelly01
 
Kelly, i will dearly miss ya Girl.
Hope all is well.
 
Msanilo..I will miss you too...you will always remain my favorite shemeji mwaaa...

yo yo....you are such a character and i guess i will miss youR charmingnessy in here hahahah keep the forum alive boo.

YE....WHaz good nephew...you knwo what time it is right?..Nitakutokea hukoko MN!....Wakati wa party nyingine LOL!...
 
Babu ki*avi na wewe!
Ni kujaza bandwidth kama anaondoka aondoka kimya kimya.....
yo yo....you are such a character and i guess i will miss youR charmingnessy in here hahahah keep the forum alive boo.
unatujazia bandwidth nenda aisee.....mods funga thread hii.....
 
Kumbe wewe ulikuwa unalipwa kuingia JF, likizo njema msalimie NN mwambie offer yangu ya kumpeleka he knows where still stands.
 
Ni kujaza bandwidth kama anaondoka aondoka kimya kimya.....

unatujazia bandwidth nenda aisee.....mods funga thread hii.....

Acha kuwa kauzibe na wewe sometimes aaaah!..mbona una roho ya kwa nini dang dude!

Kumbe wewe ulikuwa unalipwa kuingia JF, likizo njema msalimie NN mwambie offer yangu ya kumpeleka he knows where still stands.

Yeah Icodon...mwenzio nilikuwa nalipwa kiaina so now i amtaking Leave without pay....usinionee wivu...oh yeah nitafikisha msg yako kwa NN bila shaka....
 
HI ya"ll...I just want to let you know that nachukua likizo bila malipo kuingia hapa JF.....I have some business to take care and also i need to smell some fresh air......

You all have a wonderfull time kuchangia hoja mbali mbali humu and i will miss you all SO MUCH...mwaaaah!

xoxo

Nnzafula A.K.A Kelly01

Yani cup cake wako kufungiwa ka mwezi kamoja tu na wee ndo unasusa? aiii wee vumilia tu atarudi soon!
 
Kwa heri ya kuonana tutakumiss sana hapa. Salaam kwa wandugu na wapendwa wako wote. By the way unarudi lini? Maana hujasema ni likizo ya muda gani! Au unafuata njia zile zile za mwafrika wa kike? alipokwenda olewa akakimbia na jf moja kwa moja......... Nilipenda sana michango yake moto na ninamumiss sana hapa maana amewapa ahueni mafisadi
 
Back
Top Bottom