Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Nakutakia mapumziko mema Kelly01!
Babu ki*avi na wewe!Unaaga kwa mumeo hapa?
Ni kujaza bandwidth kama anaondoka aondoka kimya kimya.....Babu ki*avi na wewe!
unatujazia bandwidth nenda aisee.....mods funga thread hii.....yo yo....you are such a character and i guess i will miss youR charmingnessy in here hahahah keep the forum alive boo.
Ni kujaza bandwidth kama anaondoka aondoka kimya kimya.....
unatujazia bandwidth nenda aisee.....mods funga thread hii.....
Kumbe wewe ulikuwa unalipwa kuingia JF, likizo njema msalimie NN mwambie offer yangu ya kumpeleka he knows where still stands.
HI ya"ll...I just want to let you know that nachukua likizo bila malipo kuingia hapa JF.....I have some business to take care and also i need to smell some fresh air......
You all have a wonderfull time kuchangia hoja mbali mbali humu and i will miss you all SO MUCH...mwaaaah!
xoxo
Nnzafula A.K.A Kelly01