Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wakuu sina haja ya salam.
Huu ni ushauri tu kwa nyie mnaopenda visafari vya hapa na pale. Watumishi wa kada ambazo zipo likizo kama walimu nawashauri mtulie tu makwenu.
Kwanini nasema hivo, hii likizo ni ndefu kina junya nao hawaendi shule wapo tu wanaangalia katuni nyumbani kwao, ili usiumbuke ewe mtu mzima achana na mbao ya kuzurula kwenye nyumba za watu.
Kina junya hawachelewi kukuumbua ama lah kukukosanisha na familia uliyoitembelea.
Watoto wa bush wabaki huko huko wasiende town kuiga tabia za kina junya.
Muwe na asubuhi njema na niwatakie kina junya likizo njema.
Nawasilisha.