Tetesi: Likizo ya Uzazi Miezi Sita?

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
651
Reaction score
854
Kwa wale mliopo kwenye ulimwengu wa sheria, ebu tujuzane juu ya hili. Kwamba likizo ya uzazi imeongezwa toka siku 84 hadi miezi 6?

Kiambatanisho chajieleza.
 
Miezi 6 yote ukae nyumbani ili iweje kwa lyf tight kama hili
 
Kwa wale mliopo kwenye ulimwengu wa sheria, ebu tujuzane juu ya hili. Kwamba likizo ya uzazi imeongezwa toka siku 84 hadi miezi 6?

Kiambatanisho chajieleza.
View attachment 517849



Ninadhani ni busara ya kuzaliwa katika masuala usiyoyajua, ukanyamaza. Hutalaumiwa kwa kunyamaza kwa kuwa itachukuliwa kama unajifunza kuliko kuandika mambo ya aibu.

Unapashwa kufuatilia maneno yote ya lisu ili upate kujega hoja kinyume chake.

1) Anachokataa lisu ni kuchukua maamuzi ya kisheria kwa kukurupuka bila kufuata misingi ya sheria. Maamuzi haya hata kama yanalenga kulinda mali ya taifa, mwiho wa siku huligharimu taifa fedha nyingi kuliko hata hizo zilizokusudiwa kulindwa so long as maamuzi na approaches hazizingatii misingi ya sheria.

2). Mkataba wa uchimbaji wa hawa watu, unawamilikisha michanga, na kwa mujibu wa mikataba iliyopo, hiyo michanga ni mali yao. Kama kuna ukiukwaji wa mkataba huo unapashwa kuwa na clauses zinazo govern breach kwa pande zote mbili. Unaweza ukawa na haki lakini uka breach mkataba ikakugharimu zaidi ukalipa penalties pamoja na haki zako kupoteza. Ni sawa na wewe uamue kuwashughulikia Wabunge wote wa ccm wanaliangamiza taifa, kwa njia zinzokutuma kichwani mwako bila kufuata sheria. Lazima utaishia pasipo tu hata kama kweli ccm ni majizi na maharamia ya mali na uhai wa Watanzania.

3). Lisu anaongea suala la madhara ya uchukuaji maamuzi pasipo kufuata sheria wala misingi inayokubalika kwenye suala zima la mauhusiano kati ya Tanzania na mataifa mengine kiuchumi, kidipolomasia na ki filosofia. Kama sisi tunajiunga na jumuiya za kimataifa za maendeleo, obvious tunategemea uhusiano huo uongeze tija miongoni mwa mataifa husika kutokana na ushirki na ushirikiano wa nchi washirika. Iwapo TZ itakuwa kichaa kwa mfano, ianze kuua wageni ama kuwa persecute bila kuajli sheria na mikataba ya usalama iliyopo kati yake na hao wageni, bila shaka hakuna mgeni atakuja Tanzania na Tanzania itatengwa na hizo jumuiya na haitapata manufaa yale iliyokusudia.

4). Lisu anasema, kung'an'gania mabehewa ya michanga, ni sawa na kuhifadhi ardhi dhidi ya mimea haribifu kwa kupukutisha maua yake waketi miziiko imara tena mkiimwagilia na maji. Tanzania inaibiwa na makapumni yote ya wachimba ji madni hata wanaofanya smelting hapo hapo Tanzania, (wale wasiosafirisha michanga), kwa sababu mikataba ni mibovu na usimamizi ni mbovu.

Lisu ni mwanasheria NGULI, anatumia utaalamu wake katika kulioka taifa dhidi ya tabia ambazo zinashamirisha umaskini wa TAnzania kwa upande wa sheria. Kwamba tufuate sheria katika maamuzi yetu na tufumue mikataba mibovu ili tujenge taifa letu vyema kiuchumi, na lakini pia tupatemwongozo mpay namna ya kusimamia raslimali zetu zilizobaki.
MAAJABU!:

MWANASHERIA MKUU WA SERIAAKKLI AMBYE ANATAKIWA ATOE USHAURI BORA WENYE MACHO, ANASHAURI KWAMBA TUENDELEE TU KUKURPUKA HATA KAMA NI KINYUME CHA SHERIA, TUKISHITAKIWA NA KUSHINDWA KESI, TUTALIPA FIDIA NA GHARAMA ZOTE KWA KODI ZA WATANZANIA AMBAZO HAZITAWAGHARIMU CCM PEKEE BALI WAANZANIA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYA SIASA!. HUYU MTU NI KICHWA CH AMTU AMA CHA NCUHCIRO?

KATI YA LISU NA HUYU JAMAA NANI ANA UCHUNGU NA MALI NA MAISHA YA WATANZANIA?
ANAYESEMA HAKUAN TABU KWA KUW A HASARA HAITAKUWA YAKE PEKE YAKE HATA TUKISHINDWA KESI KWA KUWA TUTAUMIA WATANZANIA WOTE!. HIVI HIVI HIKI NI KITU GANI?

KWELI UNAWZA KUMLAUMU TUNDULISU UKAACHA MAMBWEHA YASIYOTHAMINI DHAMANA YANAZOPEWA NA HATA UBINDAMU WA WATANZANIA WAMKSINI WANAOKUFA KWA KULA MITI SHAMBA KWA KUWA HAKUNA HUDUMA HOSPITALI NA UWEZO WA KUGHARIMIKAI TIBA HAWANA? LEO BADO KIONOGIZ ANAFUARHIA MAAMUZI DHAIFU KWA KUWA TU YANAMPA JINA KISIASA KWA KUJIPENDEKEZA AKUBALIKE HATA KAMA NI KWA GHARAMA YA MAISHA YA WTANZANIA? BILA SHAKA HAPA KUNA TATIZO KUBWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…