Likizo Zanzibar: Nifikie hotel/lodge gani?

MOSHIFST

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
136
Reaction score
262
Wakuu, Christmas napanga kwenda kupumzika Zanzibar na familia yangu kidogo.

Sijawahi fika Zanzibar, pia nilikuwa natamani mwaka mpya unikute kule.

Je ni hotel gani au lodge za bei nafuu ambazo naweza kupata? Uwezo wa bajeti wangu ni 50k-60k kwa siku.

Pia maeneo gani mazuri ya kutembelea Zanzibar?

Asanteni sana
 
Nadhan ni lamada hotel ndo itakufaa, maeneo ni Mikadi af pia Manzese unamaliza na Tandale pale . karibu sana Tanga mkuu
 
Wakuu, Christmas napanga kwenda kupumzika Zanzibar na familia yangu kidogo.

Sijawahi fika Zanzibar, pia nilikuwa natamani mwaka mpya unikute kule.

Je ni hotel gani au lodge za bei nafuu ambazo naweza kupata? Uwezo wa bajeti wangu ni 50k-60k kwa siku.

Pia maeneo gani mazuri ya kutembelea Zanzibar?

Asanteni sana
Executive hotel.. ipo kilimani ya chini sio mbali na town, utapata hadi family room kwa makadirio ya bei hiyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia usije kuzama baharini, karibu zenji ila huku maeneo ya mitungi na kitimoto ni sehemu chache
 
Executive in king size beds chukua namba hii ya taxi atakusaidia sana
Wakuu, Christmas napanga kwenda kupumzika Zanzibar na familia yangu kidogo.

Sijawahi fika Zanzibar, pia nilikuwa natamani mwaka mpya unikute kule.

Je ni hotel gani au lodge za bei nafuu ambazo naweza kupata? Uwezo wa bajeti wangu ni 50k-60k kwa siku.

Pia maeneo gani mazuri ya kutembelea Zanzibar?

Asanteni sana

Jr[emoji769]
+255 777 416 455
 
Angalia usije kuzama baharini, karibu zenji ila huku maeneo ya mitungi na kitimoto ni sehemu chache
Asante mkuu; situmii pombe na vitu vinginr haram, mi ni msabato, dhehebu langu lina kanuni na sheria kuhusu vyakula.
Natala tu sehemu ya kutembelea, ufukwe nk
 
Maeneo ya Paje ni pazuri sana, jaribu eneo hilo.

Masuala ya hotel nadhani utapatiwa jawabu hivi sasa.
 
Asante sana mkuu; huko maeneo ya paje kuna sehemu nzuri za kutembelea?
Unaweza hisi umefika huko Malta au Sao Paulo.

Nilifika nikiwa kadogo nikalilia kuondoka lakini hivi najuta.

Pia eneo hilo utembelewa na watu wengi maarufu. Last year nimefanya connection akafika Hande Yener, Thomas Lizzara na Pretty Pink wamepaelewa sana.
 
Gharama za Hotel zikoje?
 
Gharama za Hotel zikoje?
Zipo kwa range tofauti ni wewe tu. Kikubwa jaribu kupitia Airbnb, hotel.com, booking.com au trivago utaweza kuchagua hotel na bei inayokufaa.

Lakini kwa bei tajwa hapo hauwezi kosa pia.
 
Wakuu, Christmas napanga kwenda kupumzika Zanzibar na familia yangu kidogo.

Sijawahi fika Zanzibar, pia nilikuwa natamani mwaka mpya unikute kule.

Je ni hotel gani au lodge za bei nafuu ambazo naweza kupata? Uwezo wa bajeti wangu ni 50k-60k kwa siku.

Pia maeneo gani mazuri ya kutembelea Zanzibar?

Asanteni sana
Kiponda Hotel Mji Mkongwe
 
Back
Top Bottom