Nadhan ni lamada hotel ndo itakufaa, maeneo ni Mikadi af pia Manzese unamaliza na Tandale pale . karibu sana Tanga mkuu
Executive hotel.. ipo kilimani ya chini sio mbali na town, utapata hadi family room kwa makadirio ya bei hiyo..Wakuu, Christmas napanga kwenda kupumzika Zanzibar na familia yangu kidogo.
Sijawahi fika Zanzibar, pia nilikuwa natamani mwaka mpya unikute kule.
Je ni hotel gani au lodge za bei nafuu ambazo naweza kupata? Uwezo wa bajeti wangu ni 50k-60k kwa siku.
Pia maeneo gani mazuri ya kutembelea Zanzibar?
Asanteni sana
Wakuu, Christmas napanga kwenda kupumzika Zanzibar na familia yangu kidogo.
Sijawahi fika Zanzibar, pia nilikuwa natamani mwaka mpya unikute kule.
Je ni hotel gani au lodge za bei nafuu ambazo naweza kupata? Uwezo wa bajeti wangu ni 50k-60k kwa siku.
Pia maeneo gani mazuri ya kutembelea Zanzibar?
Asanteni sana
Asante mkuu; situmii pombe na vitu vinginr haram, mi ni msabato, dhehebu langu lina kanuni na sheria kuhusu vyakula.Angalia usije kuzama baharini, karibu zenji ila huku maeneo ya mitungi na kitimoto ni sehemu chache
Nashukru sana Bwana Mshana, naimani hii namba sio ya mchawi...hahaha..kiddingExecutive in king size beds chukua namba hii ya taxi atakusaidia sana
Jr[emoji769]
+255 777 416 455
Asante sana mkuu; huko maeneo ya paje kuna sehemu nzuri za kutembelea?Maeneo ya Paje ni pazuri sana, jaribu eneo hilo.
Masuala ya hotel nadhani utapatiwa jawabu hivi sasa.
πππ eti tax,huo ni ungo usafiri wa uhakika achana bomberdierNashukru sana Bwana Mshana, naimani hii namba sio ya mchawi...hahaha..kidding
Nashukru sana Bwana Mshana, naimani hii namba sio ya mchawi...hahaha..kidding
Unaweza hisi umefika huko Malta au Sao Paulo.Asante sana mkuu; huko maeneo ya paje kuna sehemu nzuri za kutembelea?
Gharama za Hotel zikoje?Unaweza hisi umefika huko Malta au Sao Paulo.
Nilifika nikiwa kadogo nikalilia kuondoka lakini hivi najuta.
Pia eneo hilo utembelewa na watu wengi maarufu. Last year nimefanya connection akafika Hande Yener, Thomas Lizzara na Pretty Pink wamepaelewa sana.
Zipo kwa range tofauti ni wewe tu. Kikubwa jaribu kupitia Airbnb, hotel.com, booking.com au trivago utaweza kuchagua hotel na bei inayokufaa.Gharama za Hotel zikoje?
Kiponda Hotel Mji MkongweWakuu, Christmas napanga kwenda kupumzika Zanzibar na familia yangu kidogo.
Sijawahi fika Zanzibar, pia nilikuwa natamani mwaka mpya unikute kule.
Je ni hotel gani au lodge za bei nafuu ambazo naweza kupata? Uwezo wa bajeti wangu ni 50k-60k kwa siku.
Pia maeneo gani mazuri ya kutembelea Zanzibar?
Asanteni sana
Asante mkuu; gharama zake zikoje?Kiponda Hotel Mji Mkongwe
Kama budget yako ilivyo, na pako mjiniAsante mkuu; gharama zake zikoje?