Mshiki wahenga walisema ukimpenda mtu uongo lazima usemwe japo kidogo!Uwongo ni SUMU!!!!! Pole tu lakini hata ingekuwa mimi nahisi ningekuwa kama huyo dada!!! UWONGO NI SUMU!!! Kwa nini udanganye!!!!!!!!
Mshiki wahenga walisema ukimpenda mtu uongo lazima usemwe japo kidogo!
Yeye kwa sasa anafanya kazi na mimi nilikua namalizia shahada ya kwanza. Nikawa nimemuambia kuwa nipo kwenye shahada ya pili badala ya kwanza. Huo ndio ulikua uongo wangu.
Mwenzako naumia wewe unacheka......leo kwako kesho kwangu! Mapenzi ni kikohozi.......