Likoni Bridge Under Construction

Hii maneno lini inaisha? Au inaanza (correctly asking)? as far as I know Kigamboni bridge started and got finished while Likoni bridge is on paper! Now Selander bridge is U/C while still Likoni bridge is on paper. Kigongo-Busisi will soon start while Likoni bridge will forever stay on paper!
 
Hii design ni nzuri kuliko ile ya daraja la ziwa victoria
Nzuri kwasababu kuna kuzunguka 3-storey kabla hujapita kwenye daraja? Kwani haiwezekani kupita tu darajani bila kuzunguka bila sababu ya msingi? Ndio maana halijajengwa hadi leo kwasababu hizo spirals ni useless,pointless completely bollocks!
 
Watu wa vitendo
Longer than Kenya's longest bridge i.e. Nyali bridge!
 
Mnajenga vitu vizuri tatizo njaa tu ndio inawaangusha nyie mungiki
 
Wakenya wanachora mbele sisi ni Bagamoyo tutazindua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…