Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ni msanii aliyewapa wengi matumaini kwamba akiwa mkubwa atakua kakomaa sana kisanaa,
kaanza mziki tangu mtoto mdogo kabisa, ndhani wengi tunaijua ile single yake ya bow wowo wow yippie yo yippe yeh, where ma dogz at, bark with me now,,, akaja kutoa ngoma baada ya ngoma, ila kwa miaka kama mitano hivi kawa kimya sana.
Where this dawg at?