Lil Bow Wow kaacha mziki au mziki umemshinda

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370

Ni msanii aliyewapa wengi matumaini kwamba akiwa mkubwa atakua kakomaa sana kisanaa,

kaanza mziki tangu mtoto mdogo kabisa, ndhani wengi tunaijua ile single yake ya bow wowo wow yippie yo yippe yeh, where ma dogz at, bark with me now,,, akaja kutoa ngoma baada ya ngoma, ila kwa miaka kama mitano hivi kawa kimya sana.

Where this dawg at?
 
Alikuwa dogo hiv enz hizo hata Justine berber hakumfikia
 

 
Thank you ft Jagged Edge,Puppy Luv etc zilifanya vizuri baada ya kuingiza mapenzi na Ciara ndio akapotea moja kwa moja kwenye game.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…