Lil Bow Wow kaacha mziki au mziki umemshinda

Nyota yake ya utotoni iliisha, ila alinibamba sana enzi hizo
 
Mkuu utakuwa ni mnaa flani
List yako haina hit single "what's my name"
 
Na sasa hivi kafulia vibaya sana...


Cc: mahondaw

Ushaambiwa anafanya filamu na uandaaji wa vipindi vya luninga bado unasema kafulia, haya tuambie Ferooz na Daz Baba wako wapi.... Bow Wow aliaga kabisa kuwa kafanya kila alochoweza kwenye mziki (hana kipya cha ku-offer) sasa ni muda wa kupisha wengine na kutumia talanta zingine.
 
Legendary Bow Wow siku hizi kageuka real meme. Uki-search mitandaoni utakutana na vituko vyake. From fake PJs, retiring from a dead rap career, to getting checked by T.I and Nelly kwa kumdhalilisha Ciarra publicly. Anahusika na the lame Growing Up Hiphop ATL.
 
Marekani acting inalipa kuliko muziki. Labda kaona aende kwenye mingle zaidi.
Sidhani kama upo sahihi mkuu
Wote wanatengeneza pesa nzuri sana
Ila ukichukua wanamuziki wenye mafanikio ya juu kabisa ukalinganisha na waigizaji wenye mafanikio ya juu kabisa, basi wanamuziki wata waacha mbali sana waigizaji
Kuanzia utajiri wa jumla hadi kipato cha jumla kwa mwaka
Kuanzia malipo kwa waigizaji kwa film vs mapato ya album
 

Suala si kutengeneza pesa nzuri sana, suala ni wapi kuna pesa zaidi.Usichanganye mambo.

"Pesa nzuri sana" is a subjective standard. Pesa zaidi tunaweza kulinganisha kwa namba wapi zaidi.

Kwanza watu hawanunui albamu siku hizi. Wengi wana downliad muziki online au kununua single.

Wanamuziki wanapata hela kwa concert zaidi ya kuuza albamu.

Pili, toa statistics tujuzane habari kwa fact, si kwa hadithi tu.

Ukiangalia wanamuziki wanaoingia kwenye movies (Ice T, Ice Cube, LL Cool J, Will Smith etc) ni wengi sana na ukiangalia actors wanaoingia kwenye muziki ni kama hakuna kabisa.

Kwa nini?

Yani hao wote waache muziki wenye hela zaidi waende kwenye ku act kwenye hela ndogo?
 
Chungulia Fobes
Utaona kati ya musician na actor/actresses wapi wako wengi kwenye idara mbali mbali kama networth, most paid nk

Kuondoka kwenye muziki kwenda kuigiza kuna ssbabu nyingi,
Moja wapo ni kwamba kuigiza ni rahisi zaidi kuliko kuimba
Anyone can act but not everyone can sing
 
Ukishaanza kuandika "Fobes" wakati unamaanisha "Forbes" nashindwa hata kupata moyo wa kuendelea kujadiliana nawe.

Halafu inaonekana Lil Bow Wow ali realize kwamba hataweza kuingia katika list ya elite musicians, anakohitaji kuwa ili ku make serious money, wakati anaweza ku make significantly more money as an actor.

Sasa kutoa list ya Forbes ambayo kaona asingeweza kuingia ni irrelevant.

Look at the average household actor and the average household name singer, not elites.
 
Ukishaanza kuandika "Fobes" wakati unamaanisha "Forbes" nashindwa hata kupata moyo wa kuendelea kujadiliana nawe.
Kama hicho huwa ni kigezo cha mtu kujadiliana na wewe basi ni haki yako kuvunjika moyo mkuu
 
Kama hicho huwa ni kigezo cha mtu kujadiliana na wewe basi ni haki yako kuvunjika moyo mkuu
Mtu anayejadili kitu ambacho hata herufi zake zinamshinda huwa ananifanya nitake kutapika.

Sasa kama hujui herufi za Forbes, nitajuaje unajua kusoma kilichoandikwa humo?
 
Mtu anayejadili kitu ambacho hata herufi zake zinamshinda huwa ananifanya nitake kutapika.

Sasa kama hujui herufi za Forbes, nitajuaje unajua kusoma kilichoandikwa humo?


Nimekuelewa mkuu
Mjadala umeisha

Malejendari huwa wanamaliza ubishi kwa namna hii, kiutu uzima. ID hizi za miaka ya nyuma ndo model za vijana wapya humu JF

Nice one bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…