LIL DURK: All my life

LIL DURK: All my life

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
1,328
Reaction score
3,718
Lil durk ameripotiwa kumliapa j cole kiasi cha USD 978k, kwa Tanzania sawa Na shilling, 2,316, 882, 000 baada ya kumshirikisha kwenye ngoma yake ya "All my life".

J cole katika wimbo huo verse yake ina maneno 489

J cole ana charge USD 2k kwa Kila neno ataloweka kwenye feature(wimbo wako).

Bongo wanalipa kwa vigezo gani kufanya collaboration? 🤔
_20230606_033727.JPG
 
View attachment 2647398
Na ngoma imeenda viral kinoma
 
Manager wa J cole Ibrahim Hamad ...kupitia xxl magazine ameweka wazi hili suala halina ukweli wowote Durk Derrick Banks hakumlipa J cole dola 1 million
 
DJ Bandz amesema Lil Durk hajawahi kulipia verse. Anyways, dude came a long way, he deserves his shine.
 
Back
Top Bottom