Mi ningeipa thamani hii kitu kama vijana wetu(wasanii) wangekua wanafaidika na hii kitu, huwezi amini wakina FidQ walikua Kkoo juzi wanafanya shoping ya raba za buku 7-10 yani wamepewa 50k each kwa ajili ya shopping, kweli hawa clouds wanawapatia hawa vijana, imagine mtu kama fidQ anapewa 50k wht abt hawa waduchu? jamaa wanyonyaji sana aisee...its horible ukisikia story za hawa wasanii live kama nilivyobonga nao juzi kkoo.
labda niulize swali....kwani msanii akipiga concert si analipwa fee yake??je ni lazima promoter/organizer amnunulie nguo/viatu??LIL'KIM amenunuliwa mavazi na CLOUDS??i dont think so.....kalipwa fee yake kaja na wardrobe yake.
ndivyo mkataba wao ulivyosema, ningependa kujua uhusika wako kwenye fiesta ili twende sawa mkuu, i gotta all evidence to prove you wrong.
Huyo wa kulia anaitwa Wandiba yy ni proffesional bouncer ..wasanii wengi wakutoka nje jamaa ndo huwa anakuwa bodyguard ,may b huyo Bonge anaweza akawa ameshuka naehao jamaa wawili waliomzunguka si mchezo......naamini kaja nao hao sio wabongo.....
para tata kuna utatata
JUma nature para tata kuna utatata?
performance ndani ya fiesta
View attachment 12426View attachment 12425AView attachment 12425CH]
Nguli sijakusoma attachiment imekugomea??
hizo ni posture za performance; binafsi sijaona utata katika hicho kilichoendelea kati ya madam na aliyeoa na kutaliki kwa mzee mwalubadu; mzee yule mfupi maarufu kwa kuvua ngadu.
utata nilioona binafsi ni hiyo
je, una maanisha wote wawili walishindana kuchafua hewa?
aidha ningeshauri upeleke post hii kwenye jamii photos ili ionekane moja kwa moja na kuchangiwa.