Kama nature sio kula ugoro angekuwa mbali sana. Halafu siku hizi vijana wengi wanakula ugoro mimi kule kijijini nilizoea kuona wa bibi wanakula ugoro sasa siku hizi ni opp. kabisa. Mchizi ni mkali na anapendwa ile mbaya hata aimbe utumbo angetumia hio karesma na akafika mbali kimataifa na sio kuwa star wa temeke pekee.
Nakumbuka aliitwaga na mnet ku perform kwenye BB africa kwenye eviction show akapiga mchupa akasinzia ndege ikamwacha. Akakosa show kubwa kama ile sasa anakipga fiesta tu.
Daaah nechaaaa bonge la zali...bibie alikua anajimwaga tuuuuu...
Kama namuona msanii mmoja mpenda siiiiiiiiiiiiiifa..ingekuwa ndo yeye ....tungejibeba
hujambo lakini
mmmh si lil kim mwenye kwapa zuri kwa kweli..............maana kwapa jeusi?! (refer pic namba 2).......nilitegemea kwa mtu aliyefanyiwa kila aina ya cosmetic surgery awe ametumia laser kuondoa nywele kwenye kwapa na kuifanya safi .....kumbe duh kajisahau!
uondoaji wa nywele za kwapa kwa laser nchi za nje ni jambo lisilo gharimu kihivyo, hata watu wa kawaida wanafanya.......kanishangaza kuwa bado anapambana na wembe!

basi lenye nywele ndio zuri kaka unapitisha ulimi kwanza
Lil Kim is a has been anyway.
friction ya kila siku ndio inasababisha kwapa iwe nyeusi...............sasa kama nywele zake zinaota upesi na analazimika kila siku kupitisha wembe, kunageuka weusi kidogo kidogo.....wengine pia wanageuka weusi kutokana na deodorants wanazotumia.
all in all unapofanya laser unakuwa umeachana na nywele za kwapa, na pia unakuwa hutoi majasho kwenye kwapa kama zamani, kwa hiyo hata hizo deodorants unaweza kupunguza kutumia, na kukuta kwapa nyeupee 🙂
absolutely right. maana ni dhahiri kuna mfumo wa ufanyaji kazi wa mwili utakuw aumeingiliwa utendaji wake. wakati mwingine naona madhara mengi hayakwepeki kwemye huu ulimwengu tuishimo.Hii habari ya kutotoa jasho hata kama ni "kama zamani" nina mashaka inaweza kuleta medical side effects, kwapa linatoa jasho kwa sababu maalum za kibaiolojia sasa ukiondoa/ kupunguza hii function ina maana unapunguza namna za kutoa uchafu mwilini.