D-RICH mzee wangu pia anaumwa mwaka wa tatu sasa, maisha yanaendelea kwa neema ya Mungu. Pole sana na akutie nguvu na kukuponya mkuuPole sana mkuu.... Nilimshuhudia mzee wangu akipambana na maradhi for 5 years, naelewa ugumu wake japo kwa kutizama!!
Ila usikate tamaa ndugu, naamini unamuamini Mungu..... usimkatie tamaa kabisa, siku moja atakurejeshea tumaini ndugu
Kimalkia cha Kiteto hiki..Been sick for 15 yrs🤔....
Mwenyewe nahs hvi.... hata ile video akitembea usiku L.A nimehsi itakuwa kiki.....Hamna OD hapa ni kiki tu
Duuh apo sikujua bro ...Hilo sihitajiTumbo lake limejaa sperms za wanaume. Bado unalitaka?
Haah hamna mzee kma ni hivo silihitajiTumbo lake limejaa sperms za wanaume. Bado unalitaka?