Lil Wayne atoa kauli yenye utata

Du

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ni kawaida kwa wavuta bangi kutoa kauli zisizoeleweka na zenye utata
 
Hakuna kitu kama hiki. Watu wamephotoshop
 
Kwenye mitandao kuna Lil wayne kama mia hivi, sasa huwezi jua hapo ni Lil Wayne gani.
 
Kwenye mitandao kuna Lil wayne kama mia hivi, sasa huwezi jua hapo ni Lil Wayne gani.

Angalia vizuri hiyo picha, pembeni kuna alama ya √, ina maana account ipo verified kwa hiyo ni Wayne mwenyewe.
 
Angalia vizuri hiyo picha, pembeni kuna alama ya √, ina maana account ipo verified kwa hiyo ni Wayne mwenyewe.

Nenda twitter uangalie kama kuna kitu kama hiko
 
hi kwa sisi wataalamu wa mziki hua hatustuki sana kwani tunaitambua kama stunt.
 
Anakaribia kutoa The Curter V tar 28 Oct so lazima aipromote
 
Alikanusha lakini
 
Attachments

  • 1408088000412.jpg
    14.1 KB · Views: 209
Alikanusha lakini
Mbona mcheza mpira wa kikapu maarufu wa LA LAKERS Majic Jackson aliuleza ulimwengu kwenye TV ya taifa mwaka 1995 kuwa ana VVU na haikua ishu na aliendelea kupiga ball nawenzie.Tatizo sisi hatuja elimika.Majuu kumwambia mtu una VVU ni kama kumwambia mtu una homa kwa huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…