Mbona mcheza mpira wa kikapu maarufu wa LA LAKERS Majic Jackson aliuleza ulimwengu kwenye TV ya taifa mwaka 1995 kuwa ana VVU na haikua ishu na aliendelea kupiga ball nawenzie.Tatizo sisi hatuja elimika.Majuu kumwambia mtu una VVU ni kama kumwambia mtu una homa kwa huku.