Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Anataka kumvua chup* tu..hii ndio bigger picture hapa. hamna kengine.. :Cry:Yah,.. Weezy a.k.a tunechi amekuwa akimwita mwanadada diggins wife..itakuwa wana date and stuffs like dat.
gangsta rapa fil lonely too.
mie sivai milegezo na kulamba lamba midomo na kuuweka mlimani city the all day.....labda stevie D ambae bado anavaa milegezo na kuweka curlWeezy F Baby....
Yo Yo anatamani sana kuwa kaa Weezy F Baby....
mie sivai milegezo na kulamba lamba midomo na kuuweka mlimani city the all day.....labda stevie D ambae bado anavaa milegezo na kuweka curl