fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
MKUU NAWAZA MTU ANASHIKA SIMU ANAINGIA JF, ANATAFUTA JUKWAA KISHA ANAANDIKA UZI KAMA HUU π.MKUU HIVI UNAAKILI TIMAMU KABISA??????
Sio kila kitu kinafaa kujibiwaMKUU HIVI UNAAKILI TIMAMU KABISA??????
MKUU NAWAZA MTU ANASHIKA SIMU ANAINGIA JF, ANATAFUTA JUKWAA KISHA ANAANDIKA UZI KAMA HUU π.
NIMEOGOPA SANA MKUU ... HUYU NI MZIMA KWELI
Ukizozana na zuzu watu watashindwa kukuelewaMiminiliwahi kuwa na mawazo angalau kuwa member wa Jamii Forum ni
1. Kunapimwa Akili.
2.kufanyiwa Interview.
3. Kulipia Uzi ama Comment.
4. Kuchangia hela za kuwa mwanachama nk.
Jitu linaamka asubuhi asubuhi na kuanza kusema watu kisa mambo ya kipumbavu ya simba na yanga Aibu kweli kweli.
Haya ndio yale yaliyotoka kwenye vijiwe vya kahawa yakahamia hapa.