M MPadmire JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,957 Reaction score 3,245 Apr 17, 2019 #1 Katika miaka 2 au 3 iliyopita...Kulianzishwa jukwaa la wachumi..Mh Mpango alizindua Kwa nini hawajawahi kukutana na kujadili changamoto au mjadala kuhusu uchumi? Au wana hofu?
Katika miaka 2 au 3 iliyopita...Kulianzishwa jukwaa la wachumi..Mh Mpango alizindua Kwa nini hawajawahi kukutana na kujadili changamoto au mjadala kuhusu uchumi? Au wana hofu?
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Apr 17, 2019 #2 Hakuna uchumi unajadiliwa na serikali hii maana yenyewe ina majibu yake. Hao wachumi walienda wakakuta ni jukwaa la kumsifu jiwe wakaamua kuendelea na shughuli zao
Hakuna uchumi unajadiliwa na serikali hii maana yenyewe ina majibu yake. Hao wachumi walienda wakakuta ni jukwaa la kumsifu jiwe wakaamua kuendelea na shughuli zao
Jurrasic Park JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 3,801 Reaction score 6,806 Apr 17, 2019 #3 Ndo uchumi anaoujua Sent using Jamii Forums mobile app