Lile ni jipu ama nundu kisogoni mwa Sabaya

  • shujaa wetu karibu mtaani uje ulijenge taifa lako
 
lengai ole sabaya
 
Nimeona ndugu zake wanalia sn.Wamkanye mtoto wao,na wamfunde suala la kuumiza watu na kuwapa vilema.Kwanza akitoka aombe radhi na akome kutafuta vyeo kwa kuumiza watu.

Kama wanafanya mchongo atoke,basi saa hii huku uraiani atakutana na "asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu"
 
Hana maisha marefu
 
Halafu kwanini limtokee kisogoni!?

Kwani usiku wa Jana kulikuwa na vurugu za kugombea nini huko selo?.

Isije ikawa alidaiwa soda ya watu aliyokunywa mchana.,
Akakataa kulipa ,,

[emoji3][emoji3]

Swali fikirishi Sana.

Selo madeni mengi watu hudaiwa usiku .
 
Selo madeni mengi watu hudaiwa usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…