Akikujibu nitag hapaaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani simba na yanga wapo kwenye michuano sawa? Na kama hawako michuano sawa naomba kujua ni kwanini
Ila nyie luc aliwaita mbwaaaa tena kokoooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyinyi ndiyo aina ile ya mashabiki ambao Rage aliwaita mbumbumbu.
Nimeambiwa mm ni kilaza na watoto wangu watakua vilaza zaidi wakirithi akili zangu. Kiukweli sina ushabiki wa mpira kwahiyo hata ratiba za logi hizo sijui nani anacheza nini nasikia tu simba kacheza yanga kacheza sasa nimeuliza najibiwa vibaya kama vile najua na ninauliza makusudiπππ watu wanahasira dahAkikujibu nitag hapaaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hipo ni Arsenal mkuuHakuna timu bora inayoshiriki europa. Huo ndio ukweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana nao bhanaaa wee.Nimeambiwa mm ni kilaza na watoto wangu watakua vilaza zaidi wakirithi akili zangu. Kiukweli sina ushabiki wa mpira kwahiyo hata ratiba za logi hizo sijui nani anacheza nini nasikia tu simba kacheza yanga kacheza sasa nimeuliza najibiwa vibaya kama vile najua na ninauliza makusudi[emoji23][emoji23][emoji23] watu wanahasira dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bahati mbaya mimi si mshabiki ila alisikika mtu mmoja akiwaita nyie nyani au mbwaaaaa koko na mwingine akasisika akisema mmejaa vinyesi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]