Lile shauri la kupigwa Dr. Padre Kitima liliishia wapi?

Tulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
Mkuu iyo ishu serikali wanaijua vizuri ndo maana hamna kitakachofanyika
 
Tulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
FULL STOP: Aliyewatuma hawezi kuhojiwa
 
Unataka usikie ili iweje? Silence is power. Kimya ni silaha na ngao yetu. Waraka uliondikwa unaishi na kufanya kazi kimya kimya na hakuna atakayeuzuia na hakuna uchaguzi utakaofanyika October 2025.
Nchi ya miujiza
 
Tulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
Padre inawezekana hakupigwa,Bali ni miujiza ilimpata
 
Sio kupigwa
Ni kushambuliwa na watu wasiojulikana.
 
linaishaje wakati uchaguzi mkuu haujaisha? nyie mnawajua fiisieeemuuu ama mnawasikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…