Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Habari zenu wana GT!
Nimefanya uchunguzi wangu miaka 6 sasa kuhusu haya mapenzi yetu...mahusiano yetu... Hadi inapofikia kuishi pamoja...hua nimejiuliza maswali mengi zaidi.
Unaonaje kama ingekua kila mwenza anamwambia mwenzie anachompendea?
Au angemweleza ukweli kipi hasa kinachomfanya amekubali aishi nae au awe nae?
Mfano: umempendea sura yake...tabasam lake... Mali zake...cheo chake... Umaarufu wake n.k
Ili iwe rahisi ikitokea kupungua hicho kigezo chako iwe rahisi mtengane!
Maana nimegundua kwa ajili ya kuficha ukweli wa kile kilicho kuvutia...inatokea sababu ya kutengana ambayo mwenzio akikuuliza na ukamweleza...anakua anaiona haiingii akilini mwake.
Hebu wapendwa tuyaweke wazi hayo.
Nawasilisha.