Lilifanyika hili? Kama lingefanyika lingekuaje?

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,259
Reaction score
118
Habari zenu wana GT!

Nimefanya uchunguzi wangu miaka 6 sasa kuhusu haya mapenzi yetu...mahusiano yetu... Hadi inapofikia kuishi pamoja...hua nimejiuliza maswali mengi zaidi.
Unaonaje kama ingekua kila mwenza anamwambia mwenzie anachompendea?
Au angemweleza ukweli kipi hasa kinachomfanya amekubali aishi nae au awe nae?
Mfano: umempendea sura yake...tabasam lake... Mali zake...cheo chake... Umaarufu wake n.k

Ili iwe rahisi ikitokea kupungua hicho kigezo chako iwe rahisi mtengane!

Maana nimegundua kwa ajili ya kuficha ukweli wa kile kilicho kuvutia...inatokea sababu ya kutengana ambayo mwenzio akikuuliza na ukamweleza...anakua anaiona haiingii akilini mwake.

Hebu wapendwa tuyaweke wazi hayo.

Nawasilisha.
 
Wangu nimempendea mauno yake!! yakipungua uwezo na kac kibut
 
Wangu nimempenda kwa sababu ana mapenz ya kweli kwangu. He is giving me genuine love.
 
mbona kama unasemea moyo wake? Ulihakiki vp kama ana mapenzi ya dhati kwako?
Kuambiwa...kuonyeshwa!Kama mtu hajakupa sababu ya kutilia wasiwasi mapenzi yake kwako huna haja ya kua na wasiwasi!Na as long as mpendwa anaridhika na kiwango anachopendwa...hapo mapenzi ya kweli yanahusika!!
 
wangu,alinipendea tabasamu langu,na dimpo zangu,na macho yangu ya kuita na tabia.mimi nilimpendea tabia yake ya upole,lakini mmmh,na alikuwa kama rafiki na mpenzi,nipo comfortable nae kwa lolote lile namuambia na mshauri mzuri sana wa maisha.kilichonishinda hajui kupenda,alinichuna kisawa sawa mpaka nikaona,hapa kisukari hapendwi ila anachunwa tu.
 
Analifaham hilo?
Mliambiana kabla?
Nae akupendea nin?

Mi nilishamwambi kinachonidatisha ni hayo mauno yako bac daily anayaboresha juz juz 2 hapa kayazungusha mpk akanivunja insect wangu! ila nilienda muhimbili sahv napiopii .....
 
Mi nilishamwambi kinachonidatisha ni hayo mauno yako bac daily anayaboresha juz juz 2 hapa kayazungusha mpk akanivunja insect wangu! ila nilienda muhimbili sahv napiopii .....

Hongera kwa kua wazi na mchuchu wako.
Pole kaka!
Lakin hilo P.O.P sehem hiyo na moyo ujihasi(uctaman).
 

Jina lako nalo lime-match.
Hamkuambiana ukweli tangu mwanzo ?
 
Wangu nampendea hela zake na yale nayoyapata kutokana na hela zake kama shopping dubai/paris,movie for three days a week,ananipa pia hela ya kuishi,ananilipia nyumba nayokaa,amenipa gari nzuri,anani-screw vizuri na yupo na mimi when am in need.................LOL
 
Hapo penyewe. Mi nilikuwa namfundisha mwanafunzi fulani hisabati(basic maths). Nikampenda sana. Ila Alipomaliza tu (form iv) akamaliza vyote. Taaaabu kweli kweli!!!
 
Labda utueleze ukweli wako... ulimwambia mpenzi wako nini unachompendea?
 
kuambiwa...kuonyeshwa!kama mtu hajakupa sababu ya kutilia wasiwasi mapenzi yake kwako huna haja ya kua na wasiwasi!na as long as mpendwa anaridhika na kiwango anachopendwa...hapo mapenzi ya kweli yanahusika!!

thx lizzy.
 

michelle we kiboko,cku pesa zikiisha utamkimbia?
 
humu tutadanganyana 2 maana haya mapenzi mengi yamejawa na maigizo yasiyo na kamera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…